Thursday, October 25, 2012

madudu ligi kuu

ligi kuu ya Tanzania bara inazidi kualibiawa na waamuzi wasiokuwa makini pamoja mapenzi binafsi na timu kongwe za simba na yanga, ligi hiyo hatima yake nini?