Wednesday, November 7, 2012
Tuesday, November 6, 2012
Africa hamna uchaguzi wa haki
Baada ya jana marekani kuwa na uchazi, wananchi wote wa marekani walihusika kupiga kura katika
uchaguzi huo na kumalizika jana hiyo hiyo.Wamarekani walio nje ya nchi yao walipiga kura kwenye ofisi za balozi zao,wakati huku kwetu Africa uchaguzi huchukua wiki nzima na matokeo yake si ya haki wakati wenzetu uchaguzi ni siku moja na hupiga kwa 99%,leo watanzania wangapi hawapigi kura?

HOT &NeW stUFF on mArkEt....: Bei ya simu za Nokia
HOT &NeW stUFF on mArkEt....: Bei ya simu za Nokia: Nokia N8 $379.00 Nokia E5 $179.99 Nokia X2 $81.99 Nokia C5 $193.99 Nokia C6-01 $239.00 Nokia X6 16gb $349.99 Nokia...
Monday, November 5, 2012
Mashabiki wa bongo si wavumilivu
Mashabiki wa timu ya simba hawatakiwi kupaniki kutokana na
kufungwa na Mtibwa sugar kwani ni matokeo ya mchezo mbona
R.Madrid alifungwa Barcerona mara nyingin lakini hawakutimuaana.
Yanga kufungwa nao wakamtimua kocha,soka la bongo tujipange sana
kufungwa na Mtibwa sugar kwani ni matokeo ya mchezo mbona
R.Madrid alifungwa Barcerona mara nyingin lakini hawakutimuaana.
Yanga kufungwa nao wakamtimua kocha,soka la bongo tujipange sana
Thursday, October 25, 2012
madudu ligi kuu
ligi kuu ya Tanzania bara inazidi kualibiawa na waamuzi wasiokuwa makini pamoja mapenzi binafsi na timu kongwe za simba na yanga, ligi hiyo hatima yake nini?
Tuesday, October 23, 2012
Subscribe to:
Comments (Atom)