Baada ya jana marekani kuwa na uchazi, wananchi wote wa marekani walihusika kupiga kura katika
uchaguzi huo na kumalizika jana hiyo hiyo.Wamarekani walio nje ya nchi yao walipiga kura kwenye ofisi za balozi zao,wakati huku kwetu Africa uchaguzi huchukua wiki nzima na matokeo yake si ya haki wakati wenzetu uchaguzi ni siku moja na hupiga kwa 99%,leo watanzania wangapi hawapigi kura?
No comments:
Post a Comment