MSIBA WA NGWAIR UPO MBEZI BEACH, TARATIBU ZA MAZISHI ZAANZA
- 20 hours ago
Marafiki, marehemu Ngwea kushoto na M kulia
*Na Mwandishi Wetu,* IMEWEKWA MEI 29, 2013 SAA 1:30 MCHANA
FAMILIA ya msanii Albert Mangwea aliyefariki dunia jana nchini Afrika
Kusini, imeanza taratibu za mazishi na jioni hii inafanya kikao Leaders
Club, Kinondoni, Dar es Salaam.
Nyota wa Bongo Fleva, Albert Mangwea maarufu kama Ngwair, alifariki dunia
jana jioni akiwa nchini Afrika Kusini kutokana na kuzidiwa na matumizi ya
dawa za kulevya. Wakati mwili wake unakimbizwa hospitali ya St Hellen
Joseph, rafiki yake naye, msanii pia M To Te P alikuwa katika hali mbaya,
pia kwa utumiaji wa... more »
No comments:
Post a Comment