SUAREZ ASEMA KUIKATALIA REAL MADRID NI NGUMU, REINA NAYE ASEMA YALE YALE KUHUSU BARCA....LIVERPOOL YABOMOKA
IMEWEKWA MEI 30, 2013 SAA 3:45 ASUBUHI
MSHAMBULIAJI Luis Suarez amezua hofu juu ya mustakabli wake katika klabu
ya Liverpool baada ya kusema itamuwia vigumu kukataa ofa ya Real Madrid.
Suarez, anayetumikia kifungo cha adhabu ya mechi 10 kwa kumng'ata beki wa
Chelsea, Branislav Ivanovic, amesema katika mahojiano na kituo cha Redio
cha Uruguay analazimika kuondoka kutokana na jinsi anavyoshambuliwa na
vyombo vya habari England.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alisema: "Liverpool wanataka nibaki,
lakini ngumu kuwakatalia Real Madrid.
[image: Bombshell: Suarez has admitted he w... more »
No comments:
Post a Comment